1 Timotheo 1:5
1 Timotheo 1:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Shabaha ya amri hii ni kuhimiza mapendo yatokayo katika moyo safi, dhamiri njema, na imani ya kweli.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 11 Timotheo 1:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini lengo la agizo hili ni kuleta upendo utokao katika moyo safi na dhamiri njema, na imani isiyo na unafiki.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 1