Tito 3:12-13

Tito 3:12-13 BHN

Baada ya kumtuma kwako Artema au Tukiko, fanya bidii kuja Nikopoli unione, maana nimeamua kukaa huko wakati wa majira ya baridi. Jitahidi kumsaidia mwanasheria Zena na Apolo ili waweze kuanza ziara zao, na uhakikishe kwamba wana kila kitu wanachohitaji.
BHN: Biblia Habari Njema
husisha wengine/jumuisha

Mipango ya Masomo na ibada za bure zinazohusiana na Tito 3:12-13

Inakutia moyo na kukupa changamoto ya kutafuta ukaribu na Mungu kila siku.


YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya.