Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waroma 2:17-18

Waroma 2:17-18 BHN

Na wewe, je? Wewe mwenyewe unajiita Myahudi; unaitumainia sheria na kujivunia kuwa wa Mungu; kwa njia ya sheria unajua matakwa ya Mungu na unaweza kuchagua jambo jema

Video ya Waroma 2:17-18