Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 2:50-52

Luka 2:50-52 BHN

Lakini wazazi wake hawakuelewa maana ya maneno aliyowaambia. Basi, akarudi pamoja nao hadi Nazareti, akawa anawatii. Mama yake akaweka mambo hayo yote moyoni mwake. Naye Yesu akaendelea kukua katika hekima na kimo; akazidi kupendwa na Mungu na watu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 2:50-52