Yohane 14:12-14

Yohane 14:12-14 BHN

Kweli nawaambieni, anayeniamini atafanya mambo ninayofanya mimi; naam, atafanya hata makuu zaidi, kwani ninakwenda kwa Baba. Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Mkiniomba chochote kwa jina langu, nitawafanyieni.
BHN: Biblia Habari Njema
husisha wengine/jumuisha

Mipango ya Masomo na ibada za bure zinazohusiana na Yohane 14:12-14

Inakutia moyo na kukupa changamoto ya kutafuta ukaribu na Mungu kila siku.


YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya.