Yohane 14:1-2

Yohane 14:1-2 BHN

Yesu aliwaambia, “Msifadhaike mioyoni mwenu. Mwaminini Mungu, niaminini na mimi pia. Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama isingekuwa hivyo, ningalikwisha waambieni. Sasa nakwenda kuwatayarishieni nafasi.
BHN: Biblia Habari Njema
husisha wengine/jumuisha

Yohane 14:1-2

husisha wengine/jumuisha

Mipango ya Masomo na ibada za bure zinazohusiana na Yohane 14:1-2

Inakutia moyo na kukupa changamoto ya kutafuta ukaribu na Mungu kila siku.


YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya.