Yohane 12:22-24

Yohane 12:22-24 BHN

Filipo akaenda, akamwambia Andrea, nao wawili wakaenda kumwambia Yesu. Yesu akawaambia, “Saa ya kutukuzwa kwa Mwana wa Mtu imefika! Kweli nawaambieni, punje ya ngano hubaki punje tu isipokuwa ikianguka katika udongo na kufa. Kama ikifa, basi huzaa matunda mengi.
BHN: Biblia Habari Njema
husisha wengine/jumuisha

Mipango ya Masomo na ibada za bure zinazohusiana na Yohane 12:22-24

Inakutia moyo na kukupa changamoto ya kutafuta ukaribu na Mungu kila siku.


YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya.