Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 12:20-21

Yohane 12:20-21 BHN

Kulikuwa na Wagiriki kadhaa miongoni mwa watu waliokuwa wamefika Yerusalemu kuabudu wakati wa sikukuu hiyo. Hao walimwendea Filipo, mwenyeji wa Bethsaida katika Galilaya, wakasema, “Mheshimiwa, tunataka kumwona Yesu.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 12:20-21