Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 12:17-18

Yohane 12:17-18 BHN

Kundi la watu wale waliokuwa pamoja na Yesu wakati alipomwita Lazaro kutoka kaburini, akamfufua kutoka kwa wafu, walimshuhudia. Kwa hiyo umati huo wa watu ulimlaki, maana wote walisikia kwamba Yesu alikuwa amefanya ishara hiyo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 12:17-18