Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 12:12-13

Yohane 12:12-13 BHN

Kesho yake, kundi kubwa la watu waliokuja kwenye sikukuu walisikia kuwa Yesu alikuwa njiani kuja Yerusalemu. Basi, wakachukua matawi ya mitende, wakatoka kwenda kumlaki; wakapaza sauti wakisema: “Sifa! Abarikiwe huyo ajaye kwa jina la Bwana. Abarikiwe mfalme wa Israeli.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 12:12-13