Yeremia 5:23-24 BHN
Lakini watu hawa wana moyo wa ukaidi na uasi;
wameniacha wakaenda zao.
Wala hawasemi mioyoni mwao;
‘Na tumche Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu,
anayetujalia mvua kwa wakati wake,
anayetupatia mvua za masika na mvua za vuli;
na kutupa majira maalumu ya mavuno.’