Yeremia 5:12-13 BHN
Wamesema uongo juu ya Mwenyezi-Mungu
wamesema: “Hatafanya kitu;
hatutapatwa na uovu wowote;
hatutashambuliwa wala kuona njaa.
Manabii si kitu, ni upepo tu;
maana neno lake Mungu halimo ndani yao.”
Basi hayo na yawapate wao wenyewe!