Kumbukumbu la Sheria 4:44-45
Kumbukumbu la Sheria 4:44-45 BHN
Hii ndiyo sheria ambayo Mose aliwapa Waisraeli. Haya ndiyo maamuzi, masharti na maagizo ambayo Mose aliwaambia Waisraeli walipotoka Misri