Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 4:43

Kumbukumbu la Sheria 4:43 BHN

Alitenga mji wa Beseri katika tambarare ya jangwa kwa ajili ya kabila la Reubeni; mji wa Ramothi katika nchi ya Gileadi kwa ajili ya kabila la Gadi, na mji wa Golani katika nchi ya Bashani kwa ajili ya kabila la Manase.