Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 27:35-36

Matendo 27:35-36 BHN

Baada ya kusema hivyo, Paulo alichukua mkate, akamshukuru Mungu mbele yao wote, akaumega, akaanza kula. Hapo wote wakapata moyo, nao pia wakala chakula.

Video ya Matendo 27:35-36