Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:25-27

Zaburi 119:25-27 SRUV

Nafsi yangu imegandamia mavumbini, Unihuishe sawasawa na neno lako. Nilizisimulia njia zangu ukanijibu, Unifundishe amri zako. Unifahamishe njia ya maagizo yako, Nami nitayatafakari maajabu yako.

Soma Zaburi 119