Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 14:8-9

Yohana 14:8-9 SRUV

Filipo akamwambia, Bwana, utuoneshe Baba, yatutosha. Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuoneshe Baba?

Soma Yohana 14