Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 51:15-16

Yeremia 51:15-16 SRUV

Ameiumba dunia kwa uweza wake, Ameuthibitisha ulimwengu kwa hekima yake, Na kwa ufahamu wake amezitandika mbingu. Atoapo sauti yake pana kishindo cha maji mbinguni, Naye hupandisha mawingu toka ncha za nchi; Huifanyia mvua umeme, Huutoa upepo katika hazina zake.

Soma Yeremia 51