Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waraka kwa Waebrania 5:12-13

Waraka kwa Waebrania 5:12-13 SRUV

Kwa maana, iwapasapo kuwa waalimu, (maana wakati mwingi umepita), mnahitaji kufundishwa na mtu mafundisho ya kwanza ya maneno ya Mungu; nanyi mmekuwa mnahitaji maziwa wala si chakula kigumu. Kwa maana kila mtu atumiaye maziwa hajui sana neno la haki, kwa kuwa ni mtoto mchanga.