Mwanzo 1:29

Mwanzo 1:29 SUV

Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mmea utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa chakula chenu
SUV: Swahili Revised Union Version
husisha wengine/jumuisha