Kumbukumbu la Torati 4:41-42
Kumbukumbu la Torati 4:41-42 SRUV
Ndipo Musa akabagua miji mitatu ng'ambo ya Yordani upande wa mashariki; ili kwamba amwuaye mtu apate kukimbilia huko, amwuaye jirani yake pasipo kujua, wala hakumchukia tangu hapo; ili apate kuishi akimbiliapo mmojawapo miji hiyo