Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Torati 4:37-38

Kumbukumbu la Torati 4:37-38 SRUV

Na kwa sababu aliwapenda baba zenu, kwa sababu hiyo aliwachagua wazao wao baada yao, akakutoa katika Misri kwa kuwako pamoja nawe, kwa uweza wake mwingi, ili kufukuza mbele yako mataifa, walio wakubwa, wenye nguvu kukupita wewe, ili kukuingiza, na kukupa nchi yao iwe urithi, kama ilivyo leo.