Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Torati 4:35-36

Kumbukumbu la Torati 4:35-36 SRUV

Wewe umeoneshwa haya, ili upate kujua ya kuwa BWANA ndiye Mungu, hapana mwingine ila yeye. Kutoka mbinguni amekufanya usikie sauti yake, ili akufundishe; na juu ya nchi alikuonesha moto wake mkuu; ukasikia maneno yake kutoka katika moto.