Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

1 Samweli 15:28-29

1 Samweli 15:28-29 SRUV

Basi Samweli akamwambia, Leo BWANA amekurarulia ufalme wa Israeli, naye amempa jirani yako, aliye mwema kuliko wewe. Tena Yeye aliye Nguvu za Israeli hatanena uongo, wala hataona majuto; maana siye mwanadamu, hata ajute.