Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 2:17-18

Rum 2:17-18 SUV

Lakini wewe, ukiwa unaitwa Myahudi na kuitegemea torati, na kujisifu katika Mungu, na kuyajua mapenzi yake, na kuyakubali mambo yaliyo bora, nawe umeelimishwa katika torati

Soma Rum 2

Video ya Rum 2:17-18