Zab 25:10-12
Zab 25:10-12 SUV
Njia zote za BWANA ni fadhili na kweli, Kwao walishikao agano lake na shuhuda zake. Ee BWANA, kwa ajili ya jina lako, Unisamehe uovu wangu, maana ni mwingi. Ni nani amchaye BWANA? Atamfundisha katika njia anayoichagua.