Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 119:41-42

Zab 119:41-42 SUV

Ee BWANA, fadhili zako zinifikie na mimi, Naam, wokovu wako sawasawa na ahadi yako. Nami nitamjibu neno anilaumuye, Kwa maana nalitumainia neno lako.