Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 119:25-27

Zab 119:25-27 SUV

Nafsi yangu imeambatana na mavumbi, Unihuishe sawasawa na neno lako. Nalizisimulia njia zangu ukanijibu, Unifundishe amri zako. Unifahamishe njia ya mausia yako, Nami nitayatafakari maajabu yako.