Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 12:6-8

Yn 12:6-8 SUV

Naye aliyasema hayo, si kwa kuwahurumia maskini; bali kwa kuwa ni mwivi, naye ndiye aliyeshika mfuko, akavichukua vilivyotiwa humo. Basi Yesu alisema, Mwache aiweke kwa siku ya maziko yangu. Kwa maana maskini mnao sikuzote pamoja nanyi; bali mimi hamnami sikuzote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 12:6-8