Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yer 32:23

Yer 32:23 SUV

nao wakaingia, wakaimiliki; lakini hawakuitii sauti yako, wala hawakuenda katika sheria yako; hawakutenda neno lo lote katika haya uliyowaagiza wayatende; basi, kwa sababu hii umeleta juu yao mabaya haya yote

Soma Yer 32