Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kum 4:46

Kum 4:46 SUV

ng’ambo ya Yordani, katika bonde lililoelekea Beth-peori, katika nchi ya Sihoni mfalme wa Waamori, aliyekuwa akikaa Heshboni ndiye aliyepigwa na Musa na wana wa Israeli, walipotoka Misri