Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Kor 6:1-2

2 Kor 6:1-2 SUV

Nasi tukitenda kazi pamoja naye twawasihi msiipokee neema ya Mungu bure. (Kwa maana asema, Wakati uliokubalika nalikusikia, Siku ya wokovu nalikusaidia; tazama, wakati uliokubalika ndio sasa; tazama, siku ya wokovu ndiyo sasa.)

Soma 2 Kor 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Kor 6:1-2