Warumi 2:17-18
Warumi 2:17-18 NENO
Tazama, wewe ukiwa unajiita Myahudi na kuitegemea sheria na kujisifia uhusiano wako na Mungu, kama unajua mapenzi ya Mungu na kukubali lililo bora kwa sababu umefundishwa na hiyo sheria