Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 2:12-13

Warumi 2:12-13 NENO

Watu wote waliotenda dhambi pasipo sheria wataangamia pasipo sheria, nao wote waliotenda dhambi chini ya sheria watahukumiwa kwa sheria. Kwa maana si wale wanaoisikia sheria ambao ni wenye haki mbele za Mungu, bali ni wale wanaoitii sheria ndio watakaohesabiwa haki.

Video ya Warumi 2:12-13