Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 2:10-11

Warumi 2:10-11 NENO

bali utukufu, heshima na amani kwa ajili ya kila mmoja atendaye mema, kwa Myahudi kwanza, kisha kwa mtu wa Mataifa. Kwa maana Mungu hana upendeleo.

Video ya Warumi 2:10-11