Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:46-48

Zaburi 119:46-48 NENO

Nitasema sheria zako mbele za wafalme wala sitaaibishwa, kwa kuwa ninazifurahia amri zako kwa sababu ninazipenda. Ninaziinulia amri zako ambazo ninazipenda mikono yangu, nami ninatafakari juu ya maagizo yako.