Walawi 7:31-33
Walawi 7:31-33 NENO
Kuhani atayateketeza hayo mafuta juu ya madhabahu, lakini kidari kitakuwa cha Haruni na wanawe. Paja la kulia la sadaka zako za amani utampa kuhani kama matoleo. Mwana wa Haruni atoaye damu na mafuta ya mnyama wa sadaka ya amani ndiye atakayepewa paja hilo la kulia kuwa fungu lake.


