Walawi 7:25-27
Walawi 7:25-27 NENO
Mtu yeyote alaye mafuta ya mnyama ambaye ametolewa sadaka kwa BWANA kwa moto ni lazima akatiliwe mbali na watu wake. Popote mtakapoishi, kamwe msile damu ya ndege yeyote wala ya mnyama. Mtu yeyote atakayekula damu lazima akatiliwe mbali na watu wake.’ ”


