Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Walawi 19:19

Walawi 19:19 NENO

“ ‘Mtazishika amri zangu. “ ‘Usiwaache mifugo wako wakazaana na wa aina tofauti. “ ‘Usipande mbegu za aina mbili katika shamba lako. “ ‘Usivae vazi lililofumwa kwa nyuzi za aina mbili tofauti.