Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 51:44-45

Yeremia 51:44-45 NEN

Nitamwadhibu Beli katika Babeli, na kumfanya atapike kitu alichokimeza. Mataifa hayatamiminika tena kwake. Nao ukuta wa Babeli utaanguka. “Tokeni ndani yake, enyi watu wangu! Okoeni maisha yenu! Ikimbieni hasira kali ya BWANA.