Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 51:40-41

Yeremia 51:40-41 NEN

“Nitawateremsha kama wana-kondoo wanaoenda machinjoni, kama kondoo dume na mbuzi. “Tazama jinsi Sheshaki atakavyokamatwa, majivuno ya dunia yote yatakavyonyakuliwa. Babeli atakuwa mwenye hofu kiasi gani kati ya mataifa!