Yeremia 51:38-39
Yeremia 51:38-39 NENO
Watu wake wote wananguruma kama simba wadogo, wanakoroma kama wana simba. Lakini wakiwa wameamshwa, nitawaandalia karamu na kuwafanya walewe, ili washangilie kwa kicheko, kisha walale milele na wasiamke,” asema BWANA.

