Yeremia 51:36-37
Yeremia 51:36-37 NENO
Kwa hiyo, hili ndilo asemalo BWANA: “Tazama, nitakutetea na kukulipizia kisasi; nitaikausha bahari yake na kuzikausha chemchemi zake. Babeli utakuwa lundo la magofu na makao ya mbweha, kitu cha kutisha na kudharauliwa, mahali asipoishi mtu.

