Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 51:17-18

Yeremia 51:17-18 NENO

“Kila mtu ni mjinga na hana maarifa; kila sonara ameaibishwa na sanamu zake. Vinyago vyake ni vya udanganyifu; havina pumzi. Ni ubatili tu, vitu vya kufanyia mzaha; wakati wa hukumu yao, wataangamia.