Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 32:39-40

Yeremia 32:39-40 NENO

Nitawapa moyo mmoja na kutenda pamoja, ili waniche daima kwa mema yao wenyewe na kwa mema ya watoto wao baada yao. Nitafanya nao agano la milele: Kamwe sitaacha kuwatendea mema, nami nitawavuvia kunicha mimi, ili wasinigeuke.