Isaya 66:13-14
Isaya 66:13-14 NENO
Kama mama anavyomfariji mtoto wake, ndivyo nitakavyokufariji wewe, nawe utafarijiwa huko Yerusalemu.” Mtakapoona jambo hili, mioyo yenu itashangilia, nanyi mtastawi kama majani; mkono wa BWANA utajulikana kwa watumishi wake, bali ghadhabu yake kali itaoneshwa kwa adui zake.




