Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 55:10-11

Isaya 55:10-11 NEN

Kama vile mvua na theluji ishukavyo kutoka mbinguni, nayo hairudi tena huko bila kunywesha dunia na kuichipusha na kuistawisha, ili itoe mbegu kwa mpanzi na mkate kwa mlaji, ndivyo lilivyo neno langu litokalo kinywani mwangu: Halitanirudia tupu, bali litatimiliza lile nililokusudia, na litafanikiwa katika kusudi lile nililolituma.

Picha za Aya za Isaya 55:10-11

Isaya 55:10-11 - Kama vile mvua na theluji
ishukavyo kutoka mbinguni,
nayo hairudi tena huko
bila kunywesha dunia
na kuichipusha na kuistawisha,
ili itoe mbegu kwa mpanzi
na mkate kwa mlaji,
ndivyo lilivyo neno langu litokalo kinywani mwangu:
Halitanirudia tupu,
bali litatimiliza lile nililokusudia,
na litafanikiwa katika kusudi lile nililolituma.Isaya 55:10-11 - Kama vile mvua na theluji
ishukavyo kutoka mbinguni,
nayo hairudi tena huko
bila kunywesha dunia
na kuichipusha na kuistawisha,
ili itoe mbegu kwa mpanzi
na mkate kwa mlaji,
ndivyo lilivyo neno langu litokalo kinywani mwangu:
Halitanirudia tupu,
bali litatimiliza lile nililokusudia,
na litafanikiwa katika kusudi lile nililolituma.