Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 39:6

Isaya 39:6 NENO

Hakika wakati unakuja ambapo vitu vyote katika jumba lako la kifalme, na vyote ambavyo baba zako waliweka akiba hadi siku hii, vitachukuliwa kwenda Babeli. Hakuna chochote kitakachosalia, asema BWANA.