1 Samweli 15:34-35
1 Samweli 15:34-35 NENO
Kisha Samweli akaenda Rama, lakini Sauli akapanda nyumbani mwake huko Gibea ya Sauli. Hadi siku Samweli alipofariki hakuenda kumwona Sauli tena, ingawa Samweli alimwomboleza. Naye BWANA alihuzunika kwamba alimfanya Sauli kuwa mfalme juu ya Israeli.

