1
Yona 1:3
Neno
NEN
Lakini Yona alimkimbia BWANA na kuelekea Tarshishi. Alishuka hadi Yafa, ambapo alikuta meli iliyokuwa imepangwa kuelekea bandari ile. Baada ya kulipa nauli, akapanda kwenye meli na kuelekea Tarshishi ili kumkimbia BWANA.
Linganisha
Chunguza Yona 1:3
2
Yona 1:17
Lakini BWANA akamwandaa samaki mkubwa sana kummeza Yona, naye Yona alikuwa ndani ya tumbo la samaki huyo kwa siku tatu, usiku na mchana.
Chunguza Yona 1:17
3
Yona 1:12
Akawajibu, “Niinueni mnitupe baharini, nayo itakuwa shwari. Ninajua mawimbi haya makubwa yamewatokea kwa ajili ya kosa langu.”
Chunguza Yona 1:12